DOWNLOAD Eunice Njeri – Nimekubali MP3

If you’re looking for a beautiful and uplifting song, you’ll want to check out Eunice Njeri’s new track, “Nimekubali.” It’s a great choice if you’re looking for a way to relax and enjoy yourself, and it’ll definitely leave you feeling inspired. Download it now and let the music take you away!

We would be so grateful if you could take a moment to provide feedback about the music you just downloaded. Your opinion means a lot to us and helps us to give you better service in the future. If you’re looking for more music from your favorite artists, please check out Zummy.Com.Ng or give us a call/Whatsapp on 09055878722 – we’d be happy to help. Thank you so much!

Download Mp3/Audio Below:

DOWNLOAD MP3 HERE

ALSO CHECK  DOWNLOAD MP3: Jacob Banks - Chainsmoking

Check Out Video below:

Check Out Lyrics below:

Nimekubali nasema ndio ,
Kwako ni salama, nasema ndio

Nimekubali nasema ndio Bwana
Najitoa dhabihu iliyo hai, Bwana nitumie

ALSO CHECK  OH! Se Fendesses - Morada | Download Mp3

Bwana watafuta watakao kwabudu kwa roho na kweli,
Na wakati ndio huu,
Naamini umefika
Nisaidie kutenda kulingana na mapenzi yako
Kutembea na maagizo yako, moyoni mwangu
x2

(Refrain)

Mimi ni chombo, mikononi yako YAHWEH,
Tena udongo, na wewe Mfinyanzi Baba
Nifinyange(eee), nitengeneze,
Uiishe nafsi yangu,chochote utakacho mimi nitatenda
x2

(Refrain)

ALSO CHECK  DOWNLOAD Rebeca Carvalho - Ele Me Ama ft. Isaias Saad | MP3, LYRICS

Niumbie moyo safi, ili niweze kukutukuza,
Bwana nitenge kwajili ya Jina Lako Baba,
Wala usinitenganishe na Uwepo Wako,
Mimi Bwana

(refrain)

 

Do you find Zummy useful? Click here to give us five stars rating!

error: