Here’s a brand new song tagged Hao Hao from Goodluck Gozbert, a super talented music star.
If you are really a fan of good and decent music, then Hao Hao is a great tune to have in your music playlist.
Listen and share your thoughts below!
SEE VIDEO BELOW:
Sing aloud gospel hymns to God, our strength, we make a jubilant noise to the God of Jacob with gospel melodies on acceptable harmony for the honor of Jehovah and the allowable bliss of the soul.
May his faithful people rejoice in this honor and sing with joy. Gospel music is life and the Lord’s message to his people.
LYRICS BELOW:
Nimbalii nimetoka tena niajabu kuwa hai,
Maana ningeshakufa aga.
Nimengi nimeona,
Tena yakuvunja moyo labda ningesha mwacha mungu.
Oh kama ni misongo magojwa maa nimepitia,
Nikazoea maumivu yakudharauliwa umaskini.
Kila siku tunajipa moyo
(Mmh)
Ipo siku yangu tu, ipo siku sikuu ipo siku yangu tu,
Nami niba nibaniba nibalikiwe×2 nami nibalikiwe(nibalikiwe)
Ah
Nibalikiwe (nibalikiwe) oh ninalikiwe (ninalikiwee, ni balikiwe, nibalikiwee nibaniba nibalikiwe)
Instrumenal mmh ayaya×3
Ingawa kwasasa wananisema vibaya,
Nami sishangai najua niyawanadamu hayoo
Ingawa sipati na nikwa muda murefu siachi kuomba
Mungu si kiziwi
Ah binadamu wema ukiwanacho,
Kwasasa waniepuka sina rafiki wala tii.
Oh kama ni misongo ya magonjwa mawazo maa nimepitiaa, nikazoea,
Maumivu ya kudharauliwa umasikini kila sikuu ninajipa moyoo mmmh
Miaka imepita onaombaga mtoto hupati,
Vuta subira maana yeye achelewi.
Mpo kwa ndoa hila nyumbani amani hakuna,
Msimwache mungu michepuko sio jibu
Umeugua tumaini lakupona hakuna, siku yako imekaribia
Heyy n
Najua, ayaya ×2 i
Ipooo
Najua, ayaya
Ipooo
Misukosuko ya ndoa,
Mtoto anakusumbua,
Giza likiingia unawaza wapi utalala (iba iba ibalikiwe)
Masimango mashemeji ati huzai mtoto
Masimango mama wa kambo,
Umemchosha nyumbani
Usiwaze husiumie,
Najua yote yatapita
Nawe ubalikiwe (ubalikiwee)
Nawe ubalikiwee×2