DOWNLOAD Goodluck Gozbert – Mungu Hapokei Rushwa [MP3 + LYRICS]

Here’s a brand new song tagged Mungu Hapokei Rushwa from Goodluck Gozbert, a super talented music star.

If you are really a fan of good and decent music, then Mungu Hapokei Rushwa is a great tune to have in your music playlist.

Listen and share your thoughts below!

DOWNLOAD MP3 HERE

ALSO CHECK  DOWNLOAD Eliane Fernandes - Cicatrizes [MP3 + LETRA]

SEE VIDEO BELOW:

Sing aloud gospel hymns to God, our strength, we make a jubilant noise to the God of Jacob with gospel melodies on acceptable harmony for the honor of Jehovah and the allowable bliss of the soul.

May his faithful people rejoice in this honor and sing with joy. Gospel music is life and the Lord’s message to his people.

LYRICS BELOW:

Yeah
Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa
Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa
Angepewa mamilioni tungetupwa mbali sana
Angepewa mamilioni tungetupwa mbali sana
Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa

ALSO CHECK  MUSIC: Umu Obiligbo – Oga Police ft Zoro

Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa
Angepewa mamilioni tungetupwa mbali sana
Angepewa mamilioni tungetupwa mbali sana
Na wengine tuna damu mbaya, mabifu kama yote
Mtu hujamkosea, anatamani ufe
Wengine bwana we, tulipewaga sura
Mtu akikukuona, akalinganisha hufanani
Wewe unadhani angepewa oxygene
Yangu angeminya, angeminya nifie mbali
Wewe unadhani angepewa kesho yako wee
Kwanza angefinya, angefinya ufie mbali
Ila mungu wee, hajui kukosea
Ametupa thamani, tulioitwa vikaragosi
Ila mungu wee, mwingi wa huruma
Ametupa vicheko, vicheko bila manoti
Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa
Aahh uzuri wake)
Uzuri ni kwamba
(Haongwi eehh) Mungu hapokei rushwa
(Angepewa) Angepewa mamilioni
(Tungeshushwa chini)tungetupwa mbali sana
(Angepewa) Angepewa mamilioni tungetupwa mbali sana
Ee eeh eeh
Mfano jitu lipate lama za Laiza: lingetuchakaza vibaya
Au lipate kama za Dangote, Lipewe kuamua Kesho yako eeh
Wengine, Baba zetu walala hoi
Wengine, mama zetu hohehahe
Wengine, familia zetu choka mbaya
Wengine, ndio kabisa mayatima
Hakuna anayetujua wala hatuna connection
Kusema sababu ni elimu mbona wasomi kibao ni jobless?
Tumewekwa Mahali kwa neema ya Mungu
Tunavuka Mapito kwa neema ya Mungu
Huyu Mungu wee, hajui kukosea
Ametupa thamani, tulioitwa vikaragosi
Ila mungu wee, mwingi wa huruma
Ametupa vicheko, vicheko bila manoti
Uzuri ni kwamba

ALSO CHECK  DOWNLOAD Jefferson & Suellen - Labareda MP3

(Haongwi eeh) Mungu hapokei rushwa
(Uzuri wake) Uzuri ni kwamba
(Haongwi eehh) Mungu hapokei rushwa
(Mbele ya watu na watu)Angepewa mamilioni
(Tungefanya nini) tungetupwa mbali sana
(Wa kutusingizia uongo) Angepewa mamilioni
(Wangetufukuza duniani apa) tungetupwa mbali sana

Leave a Reply

Your email address will not be published.