DOWNLOAD Goodluck Gozbert – Ndiwe Mungu [MP3 + LYRICS]

Here’s a brand new song tagged Ndiwe Mungu from Goodluck Gozbert, a super talented music star.

If you are really a fan of good and decent music, then Ndiwe Mungu is a great tune to have in your music playlist.

Listen and share your thoughts below!

DOWNLOAD MP3 HERE

ALSO CHECK  DOWNLOAD Patricia Romania - Deixar a lágrima rolar (MP3, LETRAS)

SEE VIDEO BELOW:

Sing aloud gospel hymns to God, our strength, we make a jubilant noise to the God of Jacob with gospel melodies on acceptable harmony for the honor of Jehovah and the allowable bliss of the soul.

May his faithful people rejoice in this honor and sing with joy. Gospel music is life and the Lord’s message to his people.

LYRICS BELOW:

Ndiwe eh eh
Ndiwe mungu wangu
Ndiwe
Ndiwe wewe mungu wangu
Nakupenda sana
Ndiwe wewe mungu wangu
Peke yako
Ndiwe mungu wangu
Ndiwe eh eh

ALSO CHECK  MP3 DOWNLOAD: Dreylo – Result

Ndiwe mungu wangu
Ndiwe eh eh
Nakupenda sana
Ndiwe mungu wangu
Ndiwe eh eh
Najua iko miungu mingi
Tena inasifa nyingi
Abuduo sanamu
Hawanitishii
Wengine mna mali nyingi
Tatizo mashariti mengi
Ila kwa mungu wangu
Yaani ni amani
Niwapo mnyonge ananitia nguvu huyu
Niwapo dhaifu
Niwapo mnyonge ananitia nguvu huyu
Niwapo dhaifu
Atii nataka na kumwaga machozi ya furaha
Nikitazama zaidi yako hakuna
Nabaki nikilia huku nashukuru
Ni wewe
Ndiwe eh eh
Ndiwe mungu wangu
Ndiweee
Ndiwe wewe mungu wangu
Nakupenda sana
Ndiwe wewe mungu wangu
Peke yako
Ndiwe mungu wangu
Ndiwe eh eh
Ndiwe mungu wangu
Ndiwe eh eh
Nakupenda sana
Ndiwe mungu wangu
Ndiwe eh eh
Usipo enda
Na mimi nitauwawa kule
Fanyika mwamba
Nilinde kwa maisha yangu eh
Nimeumbwa na wewe umenipa akili
Nimeumbwa na wewe pumzi ya uhai wako bure
Ajali nyingi tumezika wengi jamani
Magonjwa mengi walikufa wengi si haba
Ila umenilinda ona umenitunza
Ila ulinilinda nakupenda bure bure
Ila umenilinda ila ulinitunza
Ila unanipenda nakupenda bure bure
Ah bure bure ah bure ah bure
Ah bure bure ah bure ah bure
Ah bure bure ah bure ah bure
Ah bure bure ah bure ah bure
Ah bure bure ah bure ah bure
Ah bure bure ah bure ah bure
Ah bure bure ah bure ah bure
Ah bure bure ah bure ah bure
Ndiwe eh eh
Ndiwe mungu wangu
Ndiweee
Ndiwe wewe mungu wangu
Nakupenda sana
Ndiwe wewe mungu wangu

ALSO CHECK  DOWNLOAD Josh Groban - Celebrate Me Home [MP3 + LYRICS]

Peke yako
Ndiwe mungu wangu
Ndiwe eh eh
Ndiwe mungu wangu
Ndiwe eh eh
Nakupenda sana
Ndiwe mungu wangu
Ndiwe eh eh
Mungu wa majeshi
Ndiwe mungu wangu
Alfa na omega
Ndiwe mungu wangu

Leave a Reply

Your email address will not be published.